Mkuu wa gereza la ukonga Kamishna Msaidizi Steven Mwaisabila, amesema maisha ya mwanamuziki Nguza Vicking na mwanae, Papii Kocha gerezani
hayakuwa na vikwazo katika utendaji wa jeshi hilo.
Amesema mwanamuziki huyo maarufu kama Babu Seya alikuwa mtu wa watu na wakati fulani alishirikiana na wenzake kutoa burudani ya muziki akishirikiana na wenzake.
Nguza alikuwa mnyapara mkuu wa Bush na mwanae alikuwa kiongozi wa mpira wa miguu gereza na hawakuwa na tatizo gerezani ndiyo maana waonekane na wenyewe wanaweza kuachiliwa huru wakaungana na wenzao na kuwa raia wema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.