Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nywele zako zitarejea katika hali yake ya kawaidautakapo punguza matumizi ya vyakula vyenye vitamin A kwa wingi kupita kiasi kwa sababu mwili wako utaweza kubalance vitamin zote mwilini.
 
10. Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )
Thyroid gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji wa nywele.
 
Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa kumuona daktari kwa ushauri zaidi.
 
IMG-20171210-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom