mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DaimaUmoja wetu udumu
DaimaUmoja wetu udumu
Upate likesToa likes
Poa mkuu habari za JumapiliMkuu habari
Habari kubwa ni babu seya9 desemba
Big matchJose Mourinho amesema mchezo mkubwa baina yake na Guardiola hautabiriki lakini Pep amedai kuwa atafuraha mechi hiyo dhidi ya mahasimu wake
Zlatan Ibrahimovic, Phil Jones na Nemanja Matic wapo tayari kwa mechi ya Man United watakapoikabili Man City kwenye mechi inayosubiriwa kwa hamu kwenye jiji la Manchester, mubashara kupitia Goal.
Timu hizo mbili zinazoongoza Ligi Kuu zitakutana katika dimba la Old Trafford - matangazo yote ya mechi hiyo yatakuwa mubashara kupitia Goal.com - timu ya Jose Mourinho inataka kupunguza pengo la pointi dhidi ya City.
Njema kiongozi, habari za kwenuPoa mkuu habari za Jumapili
Naona goli la pili linakujaMatersacker uchochoro....
YopLikes za mchana
15'1015:10
Gr8 nawacheki gunners hapa wanateseka kweliNjema kiongozi, habari za kwenu