andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Niaje ndugu yangu, habari ya kimvua hiki kisicho na mpangilioHii ni kiswahili ya wapi?au kinyaki?maana am confused...
Nimekumisimo ujue?
Niaje ndugu yangu, habari ya kimvua hiki kisicho na mpangilioHii ni kiswahili ya wapi?au kinyaki?maana am confused...
Nimekumisimo ujue?
Anakuchungulia..geuka umwone...[emoji23][emoji23][emoji23]Umemuona mkoromije leo?
Salama tu sijui wewe na familiaNiaje ndugu yangu, habari ya kimvua hiki kisicho na mpangilio
Yuko wapi?sijamuona mwambie namtafuta[emoji38][emoji38][emoji38]Anakuchungulia..geuka umwone...[emoji23][emoji23][emoji23]
Shwari..alipita kumpa pole MTU wa ManU..Yuko wapi?sijamuona mwambie namtafuta[emoji38][emoji38][emoji38]
Habari ya jumapili
Muda si mrefu sana alikuwepo na dada yake Numbisa.Umemuona mkoromije leo?
HahahahahaaNimewaruhusu waendelee kuangalia katuni zao.Kushabikia Yanga na Man U unatakiwa ufunge feni kifuani kupozesha mapigo ya moyo
Asante wabhejaManU walala...pole Numbisa
Sijawahi kataa hela,hebu nambie halafu tuone itakuaje....Muda si mrefu sana alikuwepo na dada yake Numbisa.
Kuna biashara sijui kama utaipenda, sijui nifanyaje ili nikushirikishe?
Mama eee oohh leo nimedabwaa ooh maskini mieeee
Kumbe man u kachezea kichapo[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa, we nae. Muulize Numbisa! [emoji1][emoji1]
Siku kama hizi namkumbuka sana KK na Cole[emoji23][emoji23][emoji23],pole maaMama eee oohh leo nimedabwaa ooh maskini mieeee
Kumbe man u kachezea kichapo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Shiiiiii! Taratibu. [emoji1]