Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha asante kk alihamia timu nyingineSiku kama hizi namkumbuka sana KK na Cole[emoji23][emoji23][emoji23],pole maa
Hahahaha asante kk alihamia timu nyingineSiku kama hizi namkumbuka sana KK na Cole[emoji23][emoji23][emoji23],pole maa
Nimeipenda bure maana nimejikuta nimekuwa mkulima wa mazao mbali mbali maana nyumbani nimekuta mazao kama matikiti, mchicha, ya maboga, mananasi, mapera, nyanya, yaani vile vyote vinavyo pita jikoni, hata sijui naanzaje kupalilia... Kila nikimuuliza lengo lake la kupanda bila mpangilio hajibu (anaimbaga wimbo fulani wa kisukuma ila maneno hayatoki vizuri) chochoteSalama tu sijui wewe na familia
Mvua ya kupanda mihogo hii[emoji23][emoji23][emoji23],ovyo kabisa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimbaaaaaaMama eee oohh leo nimedabwaa ooh maskini mieeee
Weee sitoi hela, nataka hela. NauzaSijawahi kataa hela,hebu nambie halafu tuone itakuaje....
Huna chumba cha kupangisha hapo kwako nije[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeipenda bure maana nimejikuta nimekuwa mkulima wa mazao mbali mbali maana nyumbani nimekuta mazao kama matikiti, mchicha, ya maboga, mananasi, mapera, nyanya, yaani vile vyote vinavyo pita jikoni, hata sijui naanzaje kupalilia... Kila nikimuuliza lengo lake la kupanda bila mpangilio hajibu (anaimbaga wimbo fulani wa kisukuma ila maneno hayatoki vizuri) chochote
Sasa si uje tuongee,wauza nini?Weee sitoi hela, nataka hela. Nauza