Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weweeeeeeeeeeeeee !!!
Nsha lala miee. Onyeshaneni tu hata sioni vizuri, kiuno kunlalia vibaya wallahi mifupa yangu ntaitia dosari.
Haya huyo wa kucheza yu wapi? Maana hapa nasimama wima ka picha ya bisimini kunsubiri huyoo mkoromije... Kijana anata tabu huyo zaidi ndimu ya maembe magichi.
Nshachoka mie nalala...
Wanakodoa kodo,wanakodoa[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…