Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ROMERO ANAFIKIRIA KUONDOKA MAN UTD


Sergio Romero anafikiria kuondoka Manchester United dirisha la uhamisho wa Januari kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia majira ya joto, kwa mujibu wa Daily Mail .
Romero ameendelea kuwa mlinda mlango chaguo la kwanza kwa Argentina, licha ya kucheza kama kipa nambari mbili United nyuma ya David de Gea.
 
MAN UTD WANAMTAKA KINDA WA WHITECAPS


Manchester United wamemwalika kinda wa Vancouver Whitecaps Alphonso Davies kufanya majaribio Januari kwa mujibu wa CTV Edmonton .
Kinda huyo wa miaka 17 ambaye amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuichezea timu ya taifa ya Canada majira ya joto, anasubiri kupata kibali kutoka kwenye klabu yake kutua United.
 
25152068_968645626621346_5139582809102118826_n.jpg
 
Hahaa, ama kweli; mwanaume mashine! Duuu! [emoji23][emoji23]
Huyu atateguka mgongo eti mwanaume mashine. Kanuni mojawapo ya Fizikia inasema kwamba huwezi kuinua kitu chenye uzito sawa na wako. Kwa kuangalia tu hapo ni ama wanalingana uzito au mnyanyuaji anazidiwa. Kuna kuteguka uti wa mgongo na hata kufyatuka magoti na nyonga...

[emoji117][emoji117][emoji117]ila jamaa kajitahidi na msambwanda anacheza nao laivu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MAN UTD WANAMTAKA KINDA WA WHITECAPS


Manchester United wamemwalika kinda wa Vancouver Whitecaps Alphonso Davies kufanya majaribio Januari kwa mujibu wa CTV Edmonton .
Kinda huyo wa miaka 17 ambaye amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuichezea timu ya taifa ya Canada majira ya joto, anasubiri kupata kibali kutoka kwenye klabu yake kutua United.
Numbisa siku yako inaendeleaje? Nilikuwa nakusalimia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom