Vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mtu wa elfu themanini kuomba hii dua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi ufutwe
Atakuwa Mhaya huyo. Sifa gredi wani. May be ni Mzee Rutta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Huo mmechisho wa nguvu
Kila jambo na wakati wake
Wanajifunza kunywa vinywaji ambavyo hawajavizoea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nambari lazima zisomeke
Endelea kusubiriHuu uzi ufutwe
Huyu atateguka mgongo eti mwanaume mashine. Kanuni mojawapo ya Fizikia inasema kwamba huwezi kuinua kitu chenye uzito sawa na wako. Kwa kuangalia tu hapo ni ama wanalingana uzito au mnyanyuaji anazidiwa. Kuna kuteguka uti wa mgongo na hata kufyatuka magoti na nyonga...Hahaa, ama kweli; mwanaume mashine! Duuu! [emoji23][emoji23]
Numbisa siku yako inaendeleaje? Nilikuwa nakusalimia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAN UTD WANAMTAKA KINDA WA WHITECAPS
Manchester United wamemwalika kinda wa Vancouver Whitecaps Alphonso Davies kufanya majaribio Januari kwa mujibu wa CTV Edmonton .
Kinda huyo wa miaka 17 ambaye amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuichezea timu ya taifa ya Canada majira ya joto, anasubiri kupata kibali kutoka kwenye klabu yake kutua United.
Vyuma gani mkuu mbona pochi inasomekaVyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nipo napambana na hali yanguNumbisa siku yako inaendeleaje? Nilikuwa nakusalimia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]