Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekachukua kapicha kwa ajili ya wapwa zako.

Habari yako ndugu yangu,huku tunapambana na hali zetu kama kawaida
Sawa lakini usiwalazimishe kukariri haya matemperecha. Hayana maana kwao.

Habari nzuri tu. Hata huku tunapambana na hali zetu tu. Maisha ndivyo yalivyo. Hata Bill Gates ukimuuliza atakwambia anapambana na hali yake !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…