Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu unanifahamu zaidi ya ninavyojifahamu??........!!!!!!.....kuitana mkuu inatosha!!!!
Nilitumia "mama" kuspecify kuwa we ni ke.
Maana neno "mama" hutumika pia kumuelezea jinsia ya ke.

Samahani sana kama nilikukwaza kwa hilo neno "mama"



Nakuhadi sitadhubutu wala kujaribu kutumia hilo neno(MAMA) kwa kwako MKUU

Siku njema na eid njema MKUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…