Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2944.jpg
 
JUVE YAMWINGIZA KWENYE RADA BELLERIN

Juventus wanampa kipaumbele beki wa Arsenal Hector Bellerin dirisha la uhamisho majira ya joto, kwa mujibu wa habari Tuttosport .
Stephan Lichtsteiner akitarajiwa kuondoka Juve, mabingwa hao wa Serie A wanaangalia soko kupata mbadala wake.
 
MADRID YAMGEUKIA LLORIS

Real Madrid wanajiamini kuwa watampata mlinda mlango wa Tottenham Hugo Lloris, kwa mujibu wa Sunday People .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa anatamani kushinda mataji, na Spurs wamekuwa na wakati mgumu kwenye ligi ya Uingereza msimu huu, Blancos wanaamini watamshawishi.
Bado wanatamani kumsajili David de Gea na Thibaut Courtois lakini sasa wanaweza kumgeuzia usikivu Lloris.
 
REAL MADRID INAMTAKA SALAH

Real Madrid inataka kumsajili mchezaji mahiri wa Liverpool, Mohamed Salah kwa mujibu wa chanzo cha Hispania Don Balon .
Habari zinadai kuwa miamba hao wa La Liga wanajipanga kumtoa Lucas Vazquez kama sehemu ya dili kujaribu kumsajili Salah, ambaye ameifungia Liverpool magoli 19 msimu huu..
 
ARSENAL YAMFUKUZIA WIDMER

Arsenal watafanya mchakato wa kumsajili beki wa Udinese Silvan Widmer ikiwa Hector Bellerin ataihama klabu hiyo, kwa mujibu wa TMW .
Bellerin bado anatakiwa na Barcelona na Juventus na Arsenal wanataka kuhakikisha wanapata mrithi sahihi wa beki huyo.
 
CHELSEA YAMFUKUZIA LEMAR

Chelsea imeungana na Arsenal na Liverpool kuifukuzia saini ya winga wa Monaco Thomas Lemar, kwa mujibu wa L'Equipe .
Gunners walimfukuzia majira ya joto, lakini sasa wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa mahasimu wao wa Ligi Kuu Uingereza kumpata nyota huyo mwenye thamani ya £90 milioni.
 
Back
Top Bottom