Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

REAL MADRID YAANZA MAZUNGUMZO NA NEYMAR


Real Madrid wameanza mazungumzo kuhusu kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar majira ya joto 2018, kwa mujibu wa OK Diario .
Blancos walikuwa wanatarajiwa kusubiri miaka miwili kabla ya kuanza mchakato wa dili lamchezaji huyo, lakini sasa wapo tayari kutoa €222m ambayo PSG waliilipa Barcelona.
 
ALEX SANDRO ANATAKA KUTUA CHELSEA


Beki wa Juventus Alex Sandro anapendelea kwenda Chelsea kuliko Manchester United, kwa mujibu wa The Sun .
Blues walishindwa kumpata beki huyo wa Kibrazili majira ya joto, na kuipa United fursa ya kumfukuzia mchezaji huyo lakini anatamani kutua Stamford Bridge Januari.
 
IMG_20171209_160219_266.jpg
 
*Kwelii maisha yanabadilik sanaa zamani ilikuwa mwanaume mipango mwanmke uvumilivu ila saiv sasa duuh mwanaume mashine mwanmke wowowooo*

Akili kisado maujinga pipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom