mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Madawa ya kulevya hayoNjoo tuvute bangi
Poa. Karibu tena.Hellow family...mmeshindaje humu
Chukua likesHebu nipe malike ndugu yangu
Hahaa ile vita ya jana kuwahi 50k ni hatari nilijikuta napitisha likes tu kuja kushtuka imenipitaIla Jf bhana yaani pale unasubiria 50k second moja tu unakuta kuna post kama 20 hivi mbele yako
HahahahaJana kama niliona sura ya Faiza Fox humu ndani alikuja kula like nini?
Kweli tangu nimeingia humu sijamionaLEO KICHWA KICHAFU FULL KIJISUGUA
Makinikiamrad lipewe jina la pilau tuu hata kama bado ni white
EwalaChukua likes
Yap kichwa kichafu upoTabasam lako tu japo nalion kwa emoji linanimaliza moyo.
Hebu naomba utype hata nukta niweze kusafisha macho yangu kwa mwandiko wako.
Ila naomba urudi basi tuzungumze.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alipita kutoa mkono ya eidJana kama niliona sura ya Faiza Fox humu ndani alikuja kula like nini?
Aisee nilikuwa na mzigo wa kugonga likes 12 hrs ago lakini ndio nipo 50 mins agoJamani naomba udhuru tu waku majukumu yamenikamata kwa wiki hii
Mupe habari yakedemigod demigod inaonekana umesahau kidogo rule inayotuongoza kwa sasa.
Tunaendelea kukumbushana kwa ambao wanadhani humu ni kupost bila kulike basi naomba mkumbuke kulike pia kila post ambayo umeisoma au unaiona.
Ndio tutaweza kufika malengo ambayo wewe unayahitaji.
Sambaza likes kiroho safi watu watasambaza likes zaidi kwako.
Hili jibu hiliDunia watu wajinga kweli kweli mpira wa miguu nini maana yake?
Watu na akili timamu lakini wanashangilia mambo ya kitoto kabisa!
Mie nimemua kuwa mtoto kwa kutumia mda wangu kutoa like na kupokea like!
Nitaendelea ku like na ku like.
Pokea likesKula likes..
Nawe pata likeEwala ndugu yangu
Indeed
Piga likeNdio nafika mwanza jaman natafuta manz mkali wakula nae eid sehem ya chakula kizur tukimaliza kula aondoke zake,
YupNawe pata like