Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Dec 14, 2017 #519,341
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Dec 14, 2017 #519,342
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Dec 14, 2017 #519,343
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Dec 14, 2017 #519,344
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Dec 14, 2017 #519,345
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,346 Afya na usafi wa kinywa chetu ni muhimu ili kuboresha mwonekano wetu na pia kutufanya tujiamini
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,347 Harufu mbaya mdomoni hutufanya tusijiamini na pia kutunyima raha ya kucheka au kuongea mbele ya watu.
Harufu mbaya mdomoni hutufanya tusijiamini na pia kutunyima raha ya kucheka au kuongea mbele ya watu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,348 Harufu mbaya mdomoni husababishwana:
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,349 Bacteria mdomoni
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,350 Mdomo kuwa mkavu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,351 Aina fulani za chakula
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,352 njia kadhaa ambazo zinaweza kusaidia kuondoa au kupunguza harufu mbaya mdomoni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,353 Endapo hizi njia hazisaidii ni vizuri kumwona daktari wa meno kwa ushauri na iba zaidi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,354 Piga mswaki baada ya kula Usafi wa kinywandio namna nzuri zaidi kupambanana harufu mbaya mdomoni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,355 Safisha ulimi Unapo swaki ni muhimu kusugua ulimi kwa kutumia mswaki ili kuondoa bakteria, mabaki ya chakula na’seli’ zilizokufa.
Safisha ulimi Unapo swaki ni muhimu kusugua ulimi kwa kutumia mswaki ili kuondoa bakteria, mabaki ya chakula na’seli’ zilizokufa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,356 Safisha ulimi Unapo swaki ni muhimu kusugua ulimi kwa kutumia mswaki ili kuondoa bakteria, mabaki ya chakula na’seli’ zilizokufa.
Safisha ulimi Unapo swaki ni muhimu kusugua ulimi kwa kutumia mswaki ili kuondoa bakteria, mabaki ya chakula na’seli’ zilizokufa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,357 Tafuna bubblish/Big G ambazo hazina sukari Kwa kutafuna bubblish mtiririko wa mate huwa mzuri na hivyo kuondoa au kuafisha bakteria,
Tafuna bubblish/Big G ambazo hazina sukari Kwa kutafuna bubblish mtiririko wa mate huwa mzuri na hivyo kuondoa au kuafisha bakteria,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,358 mabaki ya chakula na piahuzuia mdomokuwa mkavu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,359 Sukutua mdomo mara kwa mara Kusukutua mara kwa mara huimarisha usafi wa kinywa na pia kuzuia mdomo kuwa mkavu, hivyo kuepusha harufu mbaya kutoka mdomoni.
Sukutua mdomo mara kwa mara Kusukutua mara kwa mara huimarisha usafi wa kinywa na pia kuzuia mdomo kuwa mkavu, hivyo kuepusha harufu mbaya kutoka mdomoni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 14, 2017 #519,360 Epuka uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara hufanya mdomo kuwa mkavu na hivyo kusababisha harufu mbayakutoka kinywani.
Epuka uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara hufanya mdomo kuwa mkavu na hivyo kusababisha harufu mbayakutoka kinywani.