Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1513281484331.jpg
 
Manchester United imekwaa kisiki kupata saini ya mchezaji nyota wa Chelsea Willian katika usajili wa dirisha dogo Januari, mwakani.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil, alisema kuwa hana mpango wa kutimka Chelsea na amewataka mashabiki wa klabu hiyo kumuunga mkono.

Man United ilikuwa na matumaini ya kupata saini ya mchezaji huyo ili kwenda kuimarisha kikosi hicho.

Jose Mourinho alirusha ndoano akidai Willian ni mchezaji bora mwenye sifa za kucheza Man United.
 
Back
Top Bottom