Habari za JumapiliAmenifanyia amani
Na kwako pia mkuuView attachment 652825
Nawatakia Jumapili njema!
Mhhhh aina buku za mapenziUTAKUGEUZA
Ulimwenguni kuna aina zaidi ya 1000 za mapenzi na kila mmoja anatajwa kupenda kwa staili yake. Mapenzi ni kama chembe hai nyekundu zilizopo kwenye damu ya mwanadamu ambazo zinaelezwa na wataalamu kuwa hazifanani hata kidogo.
WBA 2 MAN U 0 my prediction17:15
WEST BROMWICH ALBION
Vs
MANCHESTER UNITED
AFC B 0 LIV 319:30
AFC BOURNEMOUTH
Vs
LIVERPOOL
Game nzuri sana yakuangalia22:45
BARCELONA
Vs
DEPORTIVO LA CORUÑA
Kweli kabisa mwaka wao huuChrstian Eriksen aliipatia Spurs goli la kufutia machozi dakika za mwisho lakini pengo lao dhidi ya vinara hao wa ligi limeongezeka hadi pointi 21.
City wameshawafunga mahasimu wao wote wa taji Ligi Kuu Uingereza msimu huu na mbio zao kuelekea ubingwa wa Uingereza zinaonekana kukosa mpizani.
Ka.liverpool.leo kanatandikwa vibayaWBA 2 MAN U 0 my prediction