Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Letizia Marsili, mwenye umri wa miaka 52, alitambua kwamba yuko tofauti kwa mara ya kwanza alipokuwa mdogo.
Hakuhisi maumivu kwa haraka, jambo linalomaanisha kwamba hakuhisi alipokuwa anateketea, au kutambua kwamba amevunjika mfupa mwilini. Jamaa zake watano pia katika familioa yao pia walikuwa katika hali hiyo na hawakuhisi maumivu.
 
Letizia ameiambia BBC: "siku hata siku tunaishi maisha ya kawaida, pengine maisha bora kuliko watu wengine, kwasababu ni aghalabu sisi kuwa wagonjwa, na hatuhisia maumivu.
"Hatahivyo, ki ukweli, maumivu yapo ila ni wa sekundi chache tu."
Wanasayansi wanaamini hali hii huenda inatokana na kutofanya kazi vizuri kwa baadhi ya neva mwilini.
 
Ni kwanini wanahisi uchungu mdogo?
Kiongozi wa watafiti Dr James Cox, kutoka University College London, amesema familia hiyo zina neva mwilini, lakini "hazifanyi kazi zinavyostahili".
Amesema: "TUnashughulika kupata uelewa zaidi wa kwanini hasaa hawahisi maumivu, kuona iwapo hilo litatusaidia kuvumbua dawa mpya za maumivu."
 
Marsili syndrome, hali hiyo iliyopewa jina la familia hiyo, inamaanisha kwamba mtu huhisi kwa kiwango kidogo mno cha joto, kuwashwana pilipili na hawahishi maumivu mifupa yao inapovunjika mwilini tofuati na watu wengine.
 
Mungu ni mwema tumeiona jumapili nyingine tena. Wapo walio shindwa kuamka,hapo ndipo thamani ya ubinadamu wao umeishia.

1e4188883555677b56f4513b5cd120c9.jpg
Jumapili hii ikawe ni siku ya kuwafariji wale wote walio ondokewa na wapenzi wao,tusiwaache wapweke maana wataiomba faraja kwa wafu.
Thamani ya mtu ni kuwa karibu na mtu.
b0e33ab02077d6a4222b0a05c9c245bd.jpg
 
Back
Top Bottom