Ofisa wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (Tawa), Suleiman Keraryo amesema simba wanaopanda miti walizoeleka katika Hifadhi ya Manyara pekee sasa inaonekana inasambaa hivyo kuhitajika utafiti zaidi.
Mwalimu Bibi’ ndivyo anavyotambulika kwa watoto wengi waishio jirani na nyumbani kwake, ambapo amejenga madarasa mawili kwa ajili ya kutoa elimu ya awali.
Wito alionao kwenye kazi hiyo ya ualimu wa watoto ilimchochea aamue kujiunga na kusoma stashahada ya saikolojia alipohitimu mwaka 2012 katika Chuo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam.