carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nasubiri mualiko wa kwenda nansio ujue?Akanana!
Nasubiri mualiko wa kwenda nansio ujue?Akanana!
Vipi maendeleo ya leo?Marhabaaa binti mzuri...
Mtoto mwenzio Yego umemuona hapo upenuni nyumba ya jirani?
Sijaenda insta karibia mwezi huu na app niliifuta kwa simuUmeona ubuyu wa open kitchen?
Nasubiri mualiko wa kwenda nansio ujue?
Akanana kalile kona
Kwahiyo nawe unamdhania HARUFU kuwa na KE?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yale yaleeeee ya ISIS kudhaniwa ni mwanaume hapo kabla hadi alipo thibitisha mwenyewe kuwa sio ME
Kamalizie basi hako kamwimbo! [emoji1][emoji1]
Me bukheri kabisa namshukuru Mungu,sijui huko ulikoShaka ondoa, mualiko utapata! Vipi mzima? Embu anza na hii kwanza.
View attachment 653742
[emoji1][emoji1]
Ni ngumu sana kumfikia kila mmoja maana hata wewe kuna muda una hitaji faraja kwa jambo linalo kusibu kwa wakati huo.Hakika nakubaliana na maneno yako.
Ila hako ka ujumbe kamenigusa sana....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Ohooo.....Huyu mimi nilihisi ni "me"
Me bukheri kabisa namshukuru Mungu,sijui huko uliko
Ulivyo na visa sasa[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji125] [emoji125]wee mzee usinilishe maneno ...ohoooKwahiyo nawe unamdhania HARUFU kuwa na KE?
Mungu ni mwema, ameendelea kutenda yaliyo mema kama kawaida yakeVipi maendeleo ya leo?
Yego nimemuona aiseh!
Usha vutiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata hauliziii...
[emoji124]tantalalaaa pampapaalaaaaa talala laalaaa Ruta lalalaa [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji448] [emoji449] [emoji447]Mwanaume haulizi, anauliza akishapata jibu; ifu yu nou wati ai mini! [emoji1][emoji1]