carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shemeji umenikumbusha mbali sana acha tu,mwisho wa siku tumshukuru Mungu kwa yote[emoji120][emoji120][emoji120]Ni ngumu sana kumfikia kila mmoja maana hata wewe kuna muda una hitaji faraja kwa jambo linalo kusibu kwa wakati huo.
Ila kuondokewa na mtu uliye kuwa unamtegemea ina uma sana.Tuna tamani tuishi na wapendwa wetu tukiwa hai milele(kibinadamu) lakini Mwenyezi Mungu ana makusudi yake kututenganisha. Tukifarijiana kwa upendo kwa tunao baki Mungu hufurahi sana maana minyololo mingi ya makwazo hufunguliwa.
Ila ukiweza kumfariji mtu haijalishi kama ni kupoteza mpendwa wake ama magumu yoyote anayopitia fanya hivyo,faraja utakayompa inamaana kubwa sana kwake.