Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-17-18-39-07.png
 
Kaenda kuupunguza gym,kuna kipind alikua kibonge balaa ,akishauriwa apunguze anablock watu kaja kushtuka mume keshabebwa. Daah tabasamu za insta bana moyon maumivu sana
Insta hakuna tabasamu,kule watu wanajionyesha tu waonekane wako sawa na maisha yao yako soo perfect kikubwa wanatafuta faraja ya kusifiwa kule ila in reality wana stress hatari,we ujiulizi kwanin alikuwa ana block watu wanaompa ushauri?
Ila ndo maisha yetu ya social medias haya
 
Mbona fasta bana? Usiku mwema bhana, ukuje zile saa zetu; huyu Mlugaluga wa Tukuyu atakuwa ameangusha gari tayari! [emoji23][emoji23]
Zile saa ziku hizi hazina wadau humu,konge na harufu sijui wamepotelea wapi,SYB na wewe hamuonekani...

Halafu siku hizi nalala mapema kama kuku vile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom