Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-18-21-05-35.png
 
Yaan watu huko wanavyojitahidi kujiweka happy high life mtu utaanza jilaumu kwann ulichelewa kupata utajiri kumbe wenzetu wanafake life kwa mapichapicha
Insta hakuna tabasamu,kule watu wanajionyesha tu waonekane wako sawa na maisha yao yako soo perfect kikubwa wanatafuta faraja ya kusifiwa kule ila in reality wana stress hatari,we ujiulizi kwanin alikuwa ana block watu wanaompa ushauri?
Ila ndo maisha yetu ya social medias haya
 
Back
Top Bottom