Picha za kupiga kwenye migahawa na mahoteli [emoji23][emoji23]Yaan watu huko wanavyojitahidi kujiweka happy high life mtu utaanza jilaumu kwann ulichelewa kupata utajiri kumbe wenzetu wanafake life kwa mapichapicha
Unaujua msitu wa magwepande?au unapajua ununio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana aisee, wanaweza kunipotezea hawa! Nimeshindwa mimi!