Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini pia kuna mazoezi ambayo ukifanya utakuwa umefanya zoezi lilojumuisha kiungo zaidi ya kimoja mfano mazoezi ya kukimbia, kuruka kamba na mengineyo. Licha ya kuwa unaweza kutumia muda kidogo kufanya mazoezi kwa takribani dakika (30-45) kwa siku iwe asubuhi au jioni lakini pia unaweza kupata faida nyingi za kiafya kwa kufanya mazoezi hayo.
 
Hakika nakubaliana na maneno yako.
Ila hako ka ujumbe kamenigusa sana....
Ni ngumu sana kumfikia kila mmoja maana hata wewe kuna muda una hitaji faraja kwa jambo linalo kusibu kwa wakati huo.
Ila kuondokewa na mtu uliye kuwa unamtegemea ina uma sana.Tuna tamani tuishi na wapendwa wetu tukiwa hai milele(kibinadamu) lakini Mwenyezi Mungu ana makusudi yake kututenganisha. Tukifarijiana kwa upendo kwa tunao baki Mungu hufurahi sana maana minyololo mingi ya makwazo hufunguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…