Si angeweka hata avatar ya mhusika kisha ndukiiii tuanze fungua codeYaan anaboa, sijui anafanya siri gani. Mie hapa hadi hamu ya kutukana itaisha.
Hahaha kwa mzee wa liver hata mm nitapinga vikali aiseee.Hahahahaha umenichekesha kweli. Bado sijahisi ID maarufu ya dom. Mwee wasije msingizia mzee wa liver
Me nishachoka kwakweli,wanakazana yu mgonjwa yuko hospitali.Code ngumu halafu mhusika mwenye uzi maringo tele baasi kazi tupu
Umeona eeeh, sijui anambania wa nini. Atuletee tumjueSi angeweka hata avatar ya mhusika kisha ndukiiii tuanze fungua code
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nitajie uliyemuhisi basiYaan anaboa, sijui anafanya siri gani. Mie hapa hadi hamu ya kutukana itaisha.
Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahahahaha umenichekesha kweli. Bado sijahisi ID maarufu ya dom. Mwee wasije msingizia mzee wa liver
Mwenyewe nimemuona[emoji23]Hahahha nimemuona huko anakula ubuyu kimya kimya
Hahahah ngoja kwanza, ila mm akitaja id ya mdada basi ntajua kbs km naemhisi ndio yy au lah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nitajie uliyemuhisi basi
Kabisa mzee wa forex hanaga hizo mamboHahaha kwa mzee wa liver hata mm nitapinga vikali aiseee.
Yaan kbs hata hakukuwa na haja ya kuleta uzi huu. Mamtu mengine sijui yakoje arrrghhhh.Me nishachoka kwakweli,wanakazana yu mgonjwa yuko hospitali.
Kama mtu unaamua kusaidia watu humu ni bora umwage kila kitu kuliko kuleta habari roborobo
Hata mtu akienda hosp hawez pata ubuyu wa mhusika kuwepo au la labda ataoe rushwa ndefu.Me nishachoka kwakweli,wanakazana yu mgonjwa yuko hospitali.
Kama mtu unaamua kusaidia watu humu ni bora umwage kila kitu kuliko kuleta habari roborobo
Hataki kutaja hata moja anatutesa tuHahahah ngoja kwanza, ila mm akitaja id ya mdada basi ntajua kbs km naemhisi ndio yy au lah!
Yaan ataje basi hata id ya mdadaKabisa mzee wa forex hanaga hizo mambo
Linatusumbua akili tu.Hataki kutaja hata moja anatutesa tu
Kuna mmoja anapendwa sana na wadada (ila humu wapo wengi wanapendwa na wadada)hapo ndo ugumu wa kufungua code ulipoJamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Halafu mtoa mada anatubebesha dhambi ya kuhisi tu.
Sema kuna sehemu wamesema jamaa(waliyemuhisi) ana ID kama 3 hivi na zote ziko active
Yaan ataje basi hata id ya mdada
Kaniboa, eti limeomba uzi ufungwe vile wahusika wamemfuata pm kumuomba ufungwe.Kabisa,hata herufi ya mwanzo na mwisho
Pm wap hana lolote mzush tuKaniboa, eti limeomba uzi ufungwe vile wahusika wamemfuata pm kumuomba ufungwe.
Limeniboa balaaP
Pm wap hana lolote mzush tu