Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yes. Kwa neema za Mungu I am back. Naamini nitakuwa nimepitwa na mengi. Kuna mazizi yaliyopinduliwa? Naona kama vile Yego na Carba moto umewaka....
Ni shidaaa...leo nimekaona sehemu hapa kayego kanatanua tu makwapa kama yule ndege penguin kumhakikishia usalama carba
578a3640509b6aff3c245255c0a85944.jpg

Mimi biashara za parachichi imedoda kabisa,hakuna wa kunichekea tena
 
Unataka sikukuu yote hii nikacheze na nyani porini kule?una nini lakini?[emoji23][emoji23]
Halafu kumbe SYB na jakitoo walikuwa fungate,ulialikwa kula pilau?au ilikuwa ndoa ya mkeka[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc:jakitoo
Cc:SHIMBA YA BUYENZE
 
Niruhusu tu nije piemu kutupia nondo zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hadi mahari najilipia[emoji23][emoji23][emoji23]

Ha wa yuuu shemeji,nimemuona mkoromije hapo
Shemejiii...am faini kwa kweli.Tuishi vile Mungu anatutaka,kila kitu hutokea kwa wakati.
Muhimu elimu zetu ziwe na kiwango ili kuepuka kumkosoa Mungu
 
Mshahara utakaotoka wiki ijayo ndio huo huo tutautumia Christmas, Mwakampya na ndio huo huo tutautumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba... tunakumbushana tuu maana January is a branch of science which deals with three months in it.
 
Back
Top Bottom