Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

24332408_315050818902015_2691930916669882368_n.jpg
 
Hata sijui alipata wapi akili ya kujenga hivyo. Nyoka ndio adui wake mkubwa,lakini kadri nyoka anavyo sogelea kiota ndio hatari yake ya kudondoka inaongezeka.
Siku ya siku mayai/vifaranga vya ndege vinabaki salama.
Nimeyakumbuka maisha ya zamani ya kuwinda "vinjuni" kwa manati na mtego wa ulimbo
 
Hii comment nimeiba baadhi ngoja nikaanzishe thread huko photos
 
Totoz zipo za kumwaga hasa zikifahamu kuwa papaaa yego anaishi mamton aiseee ukikohoa tu unaambiwa pole honey,ukipaliwa kinalaumiwa chakula kwa kukukaba
Tena hawa wa mamtoni ndo me nawataka,si wanatuma tiketi za ndege eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaribia kujiita mrs. Mjanja dadeq[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom