andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brotherHappy Friday, everyone! [emoji120][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brotherHappy Friday, everyone! [emoji120][emoji124][emoji124][emoji124]
Hi[emoji85][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brother
Mhenga uhenganiHappy Friday, everyone! [emoji120][emoji124][emoji124][emoji124]
Jirani mswitieAsalaam Alyekum
Niaje mamaHi[emoji85]
Babu shkamo[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] brother
Ndo naamka hivi tangu jana jioni....Carba kuna ligi huko jukwaa la celeb hebu nenda kaamue ugomvi
Mambo jiraniJirani mswitie
Kaka Asalam aleykum[emoji112][emoji112]Mambo jirani
Hahahhaa kuna mapovu hatariNdo naamka hivi tangu jana jioni....
Ngoja niende mie[emoji124] [emoji124] [emoji124] nikitoka huko naenda insta mana jana nasikia kulikiwa na party 2 za bi tukinao na mwenzie tununu
Safi tu, kahama lini? Au nipe mm mwaliko wa ChristmasMambo jirani
Yaani lile povu nafulia nguo za week nzima[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana mahaba jamanHahahhaa kuna mapovu hatari
Mahaba hadi yamepitiliza.Yaani lile povu nafulia nguo za week nzima[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana mahaba jaman
Walyekum salaam, mzima Habari za ijumaaKaka Asalam aleykum[emoji112][emoji112]
Salama kabisa,habari ya weweWalyekum salaam, mzima Habari za ijumaa
Karibu Temeke Dar tufurahie Xmass, siku chache zilizopita nilipita hapo Kahama lakini sijakuonaSafi tu, kahama lini? Au nipe mm mwaliko wa Christmas
Mh mhmh hiyo ni roho mbaya, ukaona upite kimya kimyaKaribu Temeke Dar tufurahie Xmass, siku chache zilizopita nilipita hapo Kahama lakini sijakuona
Nilipiga hodi kwako nikaona milango imefungwa, nikapitaMh mhmh hiyo ni roho mbaya, ukaona upite kimya kimya
Siku nyingine ukikuta mlango uko wazi, uingie tuNilipiga hodi kwako nikaona milango imefungwa, nikapita