Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ngoja nikamsaidie kuamua hahahaha maana mie mpoleee jaman sipendag ligiCarba kuna ligi huko jukwaa la celeb hebu nenda kaamue ugomvi
Ngoja nikamsaidie kuamua hahahaha maana mie mpoleee jaman sipendag ligiCarba kuna ligi huko jukwaa la celeb hebu nenda kaamue ugomvi
Kule kuna team wajinga na ndio wanaomponza hamisa, wanampa kichwa kumbe ujinga mtupu.Ngoja nikamsaidie kuamua hahahaha maana mie mpoleee jaman sipendag ligi
Ndo maana nimejiweka timu pinzan,baadhi ya vidada vya humu JF havijielewiKule kuna team wajinga na ndio wanaomponza hamisa, wanampa kichwa kumbe ujinga mtupu.
Hahaaa!hivi lile kundi la wadada limekimbilia wapi?kulikuwa na kakundi humu wakianza kushambulia wanaitana yaani unakoma na roho yako[emoji23][emoji23]jf raha sanaNdo maana nimejiweka timu pinzan,baadhi ya vidada vya humu JF havijielewi
Wabongo mnaroho mbaya kha![emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwa hiyo picha roho mbaya inamuhusu nani?Wabongo mnaroho mbaya kha![emoji23][emoji23][emoji23]
Aliye photoshop hiyo picha....Hivi kwa hiyo picha roho mbaya inamuhusu nani?
Alaa kumbeeeAliye photoshop hiyo picha....
Si ndio hapo sasa.Ndo maana nimejiweka timu pinzan,baadhi ya vidada vya humu JF havijielewi
Hahahhaa kalisambaratika nadhan watu wasiojulikana walikasomba na mafuriko makubwa. Kakikund ka kusema yes hata kama ni pumba wao wanakubali tu.Hahaaa!hivi lile kundi la wadada limekimbilia wapi?kulikuwa na kakundi humu wakianza kushambulia wanaitana yaani unakoma na roho yako[emoji23][emoji23]jf raha sana
Marhabaaaa mtoto mzuri...Babu shkamo