Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo sasa!

Waumini masikini mpaka kandambili zimechanika. Sad!!!
Mungu atuondoe kwenye haya majaribu,atuonyeshe tu alipo ili tuache kuhangaishwa na hawa manabii wajinga jinga.
Gamanywa amechuma kapotea,Kakobe amechuma kapotea,Josephat amechuma hasikiki tena,Lusekelo amechuma na anaendelea kuchuma,Gwajima anaendelea kukusanya mpaka dakika hii,Bushiri kakimbia Malawi kafuata hela zetu za holela.... Mungu Mungu Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji24] [emoji24]
 
Bushiri si alikuwa Sauzi. Ameshatia guu Bongo?

Mimi siwalaumu hawa jamaa. Nailaumu hiyo misukule yao...Hawa ni wajasiriamali tu sawa na wewe unayeuza maparachichi... Na wanajua sana kutumia fursa...
 
Bushiri yupo,alianzisha kanisa Mbeya,bahati mbaya kabisa mchungaji (mwana mama) wake alikuwa mpangaji wangu.Akaomba awe mpangaji peke yake,kwa maana hiyo wapangaji wengine niwaondoe.Kweli nikamuondoa mmoja ila mwingine sikumtoa.
Ndugu yangu kilicho fuata hapo....
Namshukuru Mungu niliweza kumhamisha japo kwa mbinde.Alivyo hama wakanishauri niite wachungaji wafanyie maombi nyumba
 
Hapo sasa. "Miujiza" yake mingi mchungaji huyu ipo YouTube na inaelezeka kirahisi rahisi tu lakini misukule yake ndo huiambii kitu. Mi siihurumii kwa kweli. Acha ipigwe tu!!!
 
Hiki kizazi chetu sio kivumilivu,tunapenda kufanikiwa bila kujishughulisha ipasavyo.Mtu anataka aombewe ili apate baraka ndani ya mwaka mmoja ajenge nyumba na anunue gari la kumpeleka kwa huyo sijui profeti wake...haya kazi anayo fanya muombewaji? Kwa muhindi kufunga sabuni kwenye maboksi...Kweli ndio adanganyike kupata hela ya kujenga na kununua gari wakati hela ya mshahara anagawana na huyo huyo profeti wake??? Binadamu hatuna akili na ipo siku Mungu atakuja kutuacha tujisumbukie maisha yetu wenyewe
 
Mungu atuondoe kwenye haya majaribu,atuonyeshe tu alipo ili tuache kuhangaishwa na hawa manabii wajinga jinga.
Gamanywa amechuma kapotea,Kakobe amechuma kapotea,Josephat amechuma hasikiki tena,Lusekelo amechuma na anaendelea kuchuma,Gwajima anaendelea kukusanya mpaka dakika hii,Bushiri kakimbia Malawi kafuata hela zetu za holela.... Mungu Mungu Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji24] [emoji24]
Nashukuru nabii wangu ni Muhammad "SAW" naye amefariki akiwa masikini. poleni mnategemea huduma za manabii wa miaka hii
 
Back
Top Bottom