Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bushiri yupo,alianzisha kanisa Mbeya,bahati mbaya kabisa mchungaji (mwana mama) wake alikuwa mpangaji wangu.Akaomba awe mpangaji peke yake,kwa maana hiyo wapangaji wengine niwaondoe.Kweli nikamuondoa mmoja ila mwingine sikumtoa.
Ndugu yangu kilicho fuata hapo....
Namshukuru Mungu niliweza kumhamisha japo kwa mbinde.Alivyo hama wakanishauri niite wachungaji wafanyie maombi nyumba
Duuu, walifanya nini mkuu kwenye hiyo nyumba?
 
Nashukuru nabii wangu ni Muhammad "SAW" naye amefariki akiwa masikini. poleni mnategemea huduma za manabii wa miaka hii
Kumbuka manabii wa pande zote walisha kufa na umaskini wao.Waliopo wanaangalia fursa,huyo Bushiri historia yake inasemekana wazazi wake walitokea Tanga.Ubunifu umemfikisha hapo akiwa katokea kwenye mji mdogo wa Lumpi
 
74f46efae014839384434d1941469717.jpg
 
Kumbuka manabii wa pande zote walisha kufa na umaskini wao.Waliopo wanaangalia fursa,huyo Bushiri historia yake inasemekana wazazi wake walitokea Tanga.Ubunifu umemfikisha hapo akiwa katokea kwenye mji mdogo wa Lumpi
Nakubaliana na wewe, hata hivyo naoa upande wenu mnawapa kiki matapeli na kuwafanya wakombozi.
 
Kiungo wa Atletico Madrid Nicolas Gaitan, ataondoka kwenye timu hiyo mwezi Januari baada ya timu mbalimbali za EPL kuonyesha nia kwa Muargentina huyo. (Foot Mercato, via Daily Mail)
Kiungo wa Stoke Stephen Ireland, 31, amekubali kutia saini mkataba mpya kunako klabu hiyo.
 
Back
Top Bottom