FaizaFoxy leo apita humu maana akipita humu atakosoa kila comment maana tupoovyo kwenye uandishiJana kama niliona sura ya Faiza Fox humu ndani alikuja kula like nini?
Namfahamu kabisa ni jirani yangu hapa kibiti.Mwenyekiti anamjua huyu mjeda lakini?
Tupo pamojaRed Devil
Pokea naweKula like huko ulipo na makenikia
Alikuja kukagua lugha. Wengi tuliambulia "Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?"Jana kama niliona sura ya Faiza Fox humu ndani alikuja kula like nini?
HhaaahahSiyo ucoment pamoja sana bila kutoa like...
Like ulaikiwe...
Mumeo mkali mno!Jamani chakula bad kipo njoon mle wapenz
Salama napita na nyundo now nimekwisha kuahidi likesHellow family...mmeshindaje humu
NashukuruNa kwako pia
Soda aina ya konyagi jibapa ipo mkuu?Karibuni Soda
Hahaa kichwa kichafuuu[emoji7]Pokea likes sambaza likes
Ben paulEbitokeeeeeeeee !!!![]()
Hatujambo mkuuHamjambo wote humu!