Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Toa likea pokea.Nipe nipeee
Kiroho safi nagonga like kwa hii post
Toa likea pokea.Nipe nipeee
Pokea zingine hizoHivi huu uzi mshana jr anaupitia kweli?
Popote alipo puliiis akuje, yeye siyo mchoyo likes, akichanganya na mambo yake yale malike humu yataumuka balaa . ..
Kuwa na spare ya mbavu sikukuu umalize vyemaHahahahahaha mkuu
Mzee wa liverHahahahaha jamani mtaniua kwa vicheko
Swafi sanaaa
Kweli kabisa maana nagonga nyundo post yake imepotea kama virobaAisee kweli napiga nyundo nyingi sioni post yake
NimekupaNipe uone!!
Nita m pm kwa kweli juzi hatukulala kwenye uzi mmoja hizi na yeyeHivi huu uzi mshana jr anaupitia kweli?
Popote alipo puliiis akuje, yeye siyo mchoyo likes, akichanganya na mambo yake yale malike humu yataumuka balaa . ..
Kama unatoa kweli lazima upewe.Naona natoa tu lkn sipewi
Fanya mambo akuje huku...Nita m pm kwa kweli juzi hatukulala kwenye uzi mmoja hizi na yeye
Toa like kula likes5270 sasa
Pokea zako kiroho safi tunasambaza upendoNimegawa like mpaka vidole vinauma sifiki mwisho