Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Oyoooooo, nasambaza upendo kwa likes za kutoshaaaa
Karibu culture gal za siku mingiOyoooooo, nasambaza upendo kwa likes za kutoshaaaa
Pama juuHhahaahha.
Kanzu yako nyekundu wamekuibia
Mialiko umeudhulia na kaptula na kofia
Mi nilikuwa nasubiri yako mbona unanishangaza tena.Siku kuu hii sijapata mualiko kwa memba yeyote humu
Haya kula likeMi nipo kusambaza likes zaidi kuliko kupokea like weka post upokee likes
Tatizo ulinunua kanzu ya kipekee sana na hicho kipara ulichonyoa umetisha kwenye hiyo mialikoPama juu
Saa ngapi nijongee fastabasi natoa mimi mualiko, mkujeeee kipande cha Mikocheni, mtanikuta culture da gal nafanya yangu.