Leo sikukuu lakini umekwenda na shati la kijani na suruali nyeusi!Tatizo ulinunua kanzu ya kipekee sana na hicho kipara ulichonyoa umetisha kwenye hiyo mialiko
Kula likeXpuufjik
Kula likeMtambile
PamojaPamoja mkuu utafika tu
Ka ugonjwa kangu kwa huyo mwenye nyeusi.Skirt hizo mawe watarusha kweli
MwenyeweMdwanzi
My Queen ISIS amekwenda swimming babe s where about sijuiWhere is ISIS,
Babe S nakuona nakuonaaaaaa
Toa like upate likeEid mubarak
Achana nao yangu yakutoshaSijawahi ona like ya Ukhty,
Sijawahi ona like ya Jovitha,
Sijawahi ona like ya Cocochanel,
Sijawahi ona like ya Valentina.
guys toeni mpewe, lol
True indeed hata kwanguMango833 long time tangu nione like yako, lol
Weeeee ushindwe kabisa Mkuu. Haahahaaa miguu yao watoto wa huku ina supu halafu lainiiiiiiiiiii yaaaaani lainiiiii.....Miguu ya Mbeya hiyo
Gesti Zimejaa zote mpeleke kwakoNaomba nikualike idd pili...please
Nitajitahidi kukutaftia gesti nzuri hatari
Lete like upate likeNjema sana.
Umesemaaa?Sikipendi hicho kimtu
Nawe kamata likeNyingine juu yake