Kweli mkuuAmani na upendo
17:3416:50
Nitakualika uje kuwaona nduguzo[emoji6][emoji6]Wapi huko unakokaa walikojaa tele. Wanaongea Kisukuma?
Ungenambia shem kama ilikuwa hepi besidei tu yu yako ningekuja kula keki[emoji39][emoji39][emoji39]Kanilapua asubuhi asubuhi tu,hata hepi besidei tu yu amegoma kuniimbia.Sehemu zingine sio za kubipu,utajikuta unabipwika hivi hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]