Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Faida
Faida za achari hii ni nyingi miongoni mwa faida ni kwamba kwanza inasaidia uhifadhi wa kiungo hichi cha mbirirmbi. Kwa kawaida mbirirmbi zinapopea haziwezi kustahamili muda mrefu katika mti wake na kwa hivyo huanguka. Hata hivyo pale zinapotumika kwa kutengeneza achari huwa zimehifashika na zinaweza kutumiwa kwa muda mrefu.