Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

778d21dd5b42144e238f1d5282b2c680.jpg
 
Achari ya tungule ya kawaida
Mahitaji
Hii inatengenezwa kwa kutenga kiasi cha tungule zaako unazozitaka , unaeka pamoja na bakuli kubwa kidogo, chupa yako iliyosafi, kisu , chumvi kitungu, pilipili na baada ya hapo unazikata kata vipande vidogo asilesi nyembamba.
 
Achari ya ndimu
Mingoni mwa achari maarufu sana katika siku za hivi karibuni katika kisiwa chetu cha pemba na hata Zanzibar kwa jumla ni achari ya Ndimu. Nimeona sitakuwa nimemtendea haki msomaji ikiwa sitomuelekeza jinsi achari hii inavyofanywa.
 
Mahitaji
Hii unachukwa ndimu zako mbichi kiasi na kuzichuna pamoja na kisu, bakuli , chupa iliyosafi, maji uayatia kwenye chombo chako unachotaka kutumia, iksha unachukwa ndimu zako unazichuna tofiyo, au kuzidunda ili zipungwe tofiyo.
 
Unazikosha ndimu zako kwa maji yaliyo safi na kuzitayarisha mazingira mazuri, pamoja chumvi kiasi pilipili, ukimaliza kutayarisha hivi , na unazikata vipande nyembamba sana au sehemu nne unazitia kwenye chupa yako yenye mdomo mpana paomja na chumvi , pilipili kitungu maji , thomi nabizari kuzichanganya pamoja vyote hivi.
 
Back
Top Bottom