Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
Shemeji nipo. Nilikuwa nimezoea mtandao wa kutelezesha wa kule kwa wenzetu. Bado nasuasua kuzoea huu wa kwetu. Yaani faili likikawia kufunguka basi naghairi moja kwa moja. Kwema huko uliko shemeji?Popote ulipo tambua nakutafuta and it's urgent[emoji19][emoji19][emoji19]
Bro. Why can't you believe your eyes?Its urgent i cant believe my eyes
Kati ya hao watatu ww uko wapi hapo?
Mkuu, kama sikosei sijawahi kupata like yako hata moja. Naomba moja tu na roho yangu itapoa...Na wengine pia naamini watafurahia kupata likes zako...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ukiona nimeandika hivi like like like ujue naomba like 3 zitapendeza haya like like like
Matatizo ya kujitakia. Stupid man...
Like like like like likeMkuu, kama sikosei sijawahi kupata like yako hata moja. Naomba moja tu na roho yangu itapoa...Na wengine pia naamini watafurahia kupata likes zako...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]