Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shikamoo Wenger. Weah ameeleza mengi kuwa bila Wenga Ulaya kungemshinda. Anasema Wenga ndiye alimfunda jinsi ya kupambana na racism na kumtia nguvu asikate tamaa. Amesema kama atashinda urais basi atamualika Wenga katika sherehe za kuapishwa kwake kwa sababu anamwona kama father figure aliyemsaidia sana maishani mwake. Tuwe kama Wenga. Tueneze mema kwa sababu wema kamwe huwa haupotei hivi hivi
7ea6c6d934f07d0011a60dce2ecb5bde.jpg
 
Ooooh Jesus. Kuna nini tena? Kwa shemeji kule Mwakaleli nako nimelia tu. Tumwombe Mungu sana wapendwa. Yeye kamwe hatatuacha. Hatuna kimbilio jingine na yote kwa yote tumshukuru sana !!!
Ni hilo tu hamna kingine,halafu nimekutafuta kote sikupati sijui umejenga mlango mpya[emoji19][emoji19]
 
Back
Top Bottom