Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanababaika na neno advance na wakat ni neno la kawaida,
tukirudi katika maandiko, tunaambiwa tuishi kwa imani
yule mama aliyetokwa na damu kwa muda mrefu alisikia Yesu anapita sehemu alipo lakini alijiambia leo ni siku ya kupona kwangu, akawa na imani kwamba nitakaposhika tu pindo la vazi la Yesu nitapona na ndivyo alivyofanya, tazama Yesu alimjibu nini, imani yako imekuponya
ndivyo ilivyo unamtegemea Mungu na kwa imani anakuvusha, akikuchukua ni kwa mapenzi yake mana sisi binadamu tunapenda lakini Mungu anapenda zaidi
Sawa mkuu... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sidhani kama umemanisha ulichosema lakini kila mtu anajijua yeye alivyo na Mungu wake anayemuabudu
kifupi ni kwamba ukija kwangu vibaya unapotea.
Sawa mkuu. Nawaonea huruma hao wanaokujiaga vibaya halafu wanaishia kupotea. Mungu Awasaidie tu kwa sababu hakuna namna!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom