Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Demokrasia inaimbwa na imekuwa kilio dunia nzima, hakuna mahali palipotulia ambako unaweza kusema uende ukapate pumziko. Mashariki ya Kati, zile nyakati za damu kumwagika hovyo mitaani ni kama zinarejeshwa kwa sura ya kizamani katika zama mpya.
 
Mgogoro wa Mashariki ya Kati ulichomoza tangu katikati ya Karne 20, nyakati zinazojulikana kama Aliyah, yaani kuhama kwa Wayahudi kutoka ugenini (diaspora) kuelekea Israel. Mei 14, 1948 Israel ilitangazwa kuwa Taifa kamili na Mei 11, 1949 ikapewa uanachama wa Umoja wa Mataifa.
 
Mwaka 1920, wakati Mashariki ya Kati ikiwa chini ya koloni la Uingereza, tayari kulikuwa na Wapalestina (Waarabu) na Wayahudi wachache waliokuwa wakiishi Israel, wakiitwa Yishuv. Mpaka mwaka 1948 wakati Israel ikitambuliwa kama dola kamili, Ardhi ya Israel ilikuwa na watu takriban 700,000.
 
Tangu wakati huo, kumekuwa na mgogoro mkubwa Mashariki ya Kati baina ya Wayahudi na Waarabu. Wanagombea mipaka, utambulisho wa Palestina kama dola kamili, haki ya umiliki wa maji na mengineyo lakini kubwa zaidi ni haki ya umiliki wa mji wa Jerusalem.
 
Tunapofika kwenye Jerusalem ndipo bila shaka tunapata tafsiri ya vyuma kukaza, kwani hivi karibuni Rais wa Marekani, Donald Trump alitangaza kuutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kuahidi kuhamisha ubalozi wao kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.
 
Back
Top Bottom