Wanaokuja kwako vibaya hujaje mkuu?Sidhani kama umemanisha ulichosema lakini kila mtu anajijua yeye alivyo na Mungu wake anayemuabudu
kifupi ni kwamba ukija kwangu vibaya unapotea.
Sawa kiongozi. Habari za jioni yako mkuu, ikiwa upo ukanda wa jioniWakuu endeleeni kujenga kijiji hichi mimi cole williams naheshimu michango yenu na mawazo yenu
Ninyi ni WAKUU SANA
Salaam madamCarba jamani njoo unipe ubuyu, ile ligi bado mshindi hajapatikana?
Gonga likes ujipatie likes vinginevyo utaishia kuziona zikienda kwa Andjul tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Habari yako mkuu, karibu eneo la kujidai, utani, urafiki, upendo pamoja na likes vinapatikana hapa.Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"
Nikikosa 100 likes nafungua uzi wa malalamiko
Kila mtu na mtuwekila jambo na wakati
Asalaam alyekum, hali yako mkuusiku inakimbia kweli..