myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wenger myeyushaji tuARSENAL YAPIGANA VIKUMBO NA UNITED KUMSAJILI RUGANI
Arsenal wameingia kwenye mbio za kumsajili beki wa Juventus Daniele Rugani, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Manchester United, the Sun limeripoti.