Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Swalama kabisa,za wewe?
Mimi buheri wa afya! Kumekucha.
Swalama kabisa,za wewe?
Kumekucha na mchaka mchaka kusaka pesa za kutumbua mwaka mpyaMimi buheri wa afya! Kumekucha.
Kumekucha na mchaka mchaka kusaka pesa za kutumbua mwaka mpya
Hahahahaa ntakuja kuanzisha uzi wa kuomba hela mtanipa tu hahahaaKumbuka kuweka akiba, vinginevyo mwezi January utakuwa mwezi DUME! hakuna wa kumkopa ujue! [emoji1]
Hahahahaa ntakuja kuanzisha uzi wa kuomba hela mtanipa tu hahahaa
Weuweee sikopi bali naomba ila sitoi kitu mbadala wa hio pesa hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... You have been warned, hakuna mtu wa kumkopa mwezi January!
Aaaaamen !!!
Weuweee sikopi bali naomba ila sitoi kitu mbadala wa hio pesa hahahaha
Mmh, let me think! Ati umesema? [emoji134]♂️[emoji1][emoji1]