myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wenger myeyushaji tuARSENAL YAPIGANA VIKUMBO NA UNITED KUMSAJILI RUGANI
Arsenal wameingia kwenye mbio za kumsajili beki wa Juventus Daniele Rugani, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Manchester United, the Sun limeripoti.
kigogo nani atamnunua...Mbona mshangao!!?
Watashusha tu beikigogo nani atamnunua...
Mapenzi kwa mtoto. Hongera!
Niambie Numbisa wapi nitapata?
Mapenz gan hayo ya kumgeuza chapombe bado mdogoMapenzi kwa mtoto. Hongera!
Niambie Numbisa wapi nitapata?
bei na mshahara wake piaWatashusha tu bei
duh! kweli[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
****************************
IDADI YA WATU DUNIANI 2017
wanawake 5.7 billions
wanaume 2.6 billions
...hata kila mwanaume akioa wanawake wawili, watabaki milioni 500 wako single...
[emoji117]tunapowabembeleza ni kwa huruma tu...
...sasa wewe endelea kudengua uje kuolewa na mende...