Wataliwa tu tena bila hiari yao.Lol, wanapenda kula tu kuliwa hawataki.
Wape hi kipande hiyoYap yap R- Chuga 1
Nani huyo tena anakimbiza 50K yetuHapana mnanikimbiza ha haaaaaaaaaa
Atakuwa anakula like tu. Hujaona kichwa kichafu anatafuta namba moja ya like?Eeeeh itamchukua miezi kutusahihisha
Ha ha haaaa
HahahMwaka kqbisa maana hii speed si ya nchi hii kila akimaliza page 3 sisi tunaongeza 100
Uzee unanitesa, nipo nyuma huku na like nakuja mbeleUko macho naona. Endelea kuamsha amsha!
Na WEWE pia...Mbona hamjanitaja
lol, hapo kunapikika kweliiii,Tunaandaa mapochopocho ya Eid. Subirini mialiko [emoji23][emoji23][emoji23]![]()