Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa Vale. Ni kilimo. Kama una ubavu njoo tulime huku Koromije. Mahindi, karanga, nyanya, pamba, alizeti, ufuta na mazao mengine yanastawi. Mashamba ya kuanzia nitakupa bure!Siku nyingine tustuane basi kwenye hela ngoshaa