Hope umepata sasaNa mimi sijawahi kuona likes za hao watu.
Likes mbona natoa za kutosha tu,Mr. Tunda. Toa likes bana. Eid inaendeleaje?
Usilale. Kunywa kahawa tuendelee kugonga like.Usiku mwema nawapendeni wote
Mamaangu umekuwa mpole sana, nini tatizo tukae kamati?Kwema kabisa.
ngosha wa mwanza, mambo, Aleyn, Mwifwa, QUIGLEY, sweetlee,mango833,...zepine, Numbisa ongezea wa kwako.[/QUOTE]Tunashukuru kwa taarifa njema.
Uongozi wa huu uzi na member wa humu naomba tufatilie kwa makini tujione kwa pamoja.
mzee wa liver
ho chi minh
Mango833
uniq
babe S
Jembekillo
ISIS
SHIMBA YA BUYENZE
andjul
ellymckoye
myoyambendi
Numbisa
jmapunda
Cole Williams
culture gal
Na member wengine wote maana hapo nimetype haraka haraka iliniendelee kugonga nyundo maana najua tupo wengi na wengine nawakumbuka
Tunafatilia kama sheria zinavunjwa kwenye huu uzi
Toa likes pata likes
A. K. A baba la baba, Big dad, nkBigBaba
Na wewe ukumbuke kutoaNipe nipeee