Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa Vale. Ni kilimo. Kama una ubavu njoo tulime huku Koromije. Mahindi, karanga, nyanya, pamba, alizeti, ufuta na mazao mengine yanastawi. Mashamba ya kuanzia nitakupa bure!Siku nyingine tustuane basi kwenye hela ngoshaa
Asamte mkuu,mara zote huwa ni tano nahisi ni appZiko nyingi tu. App isikudanganye!
Mbona mi sijatajwa?Japo Mimi hujanitaja. Ila pata Yangu hiyo.
TOA LIKES POKEA LIKES...RULE NUMBER 1 KATIKA HII FAMILY
Huyu mtoto haongeeUkfudhdbfnfn
Hahahaaaa mkuu acha kulia kama kakaake cocochanel, pata like kwanzaMimi umenionea
[emoji7] [emoji7]Hope umepata sasa
Jakiiiii! Sema toto langumzee wa ini
Duh!! Mkuu majina ya wenzio hayoMwausa river